Abiria 26 wamefanikiwa kuokolewa hadi sasa kutoka kwa ndege iliyoanguka katika mji wa kaskazini-magharibi wa Bukoba, Tanzania. Chanzo cha picha, CHARLES MWEBEYA/TBC Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim ...
Maombi hayo yanafanyika katika uwanja wa mpira wa Bukoba kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa eneo hilo Albert Chalamila. Familia za watoto 70 wa Gambia waliofariki kutokana na ugonjwa wa figo kali (AKI), ...
Watu 19 wamethibitishwa kufa kutokana na ajali ya ndege ya shiria la Precision, ambayo ilianguka katika ziwa viktoria asubuhi ya siku ya Jumapili, wakati ikielekea kutua kwenye uwanja wa ndege wa ...
Maandalizi ya kuaga miili ya watu 19 waliofariki jana katika ajali ya ndege ya Precision Air katika Ziwa Victoria kufanyika leo Bukoba, Mkoani Kagera. Maafisa wa serikali walitangaza kwamba watu 19 ...